January 30, 2017

WALIOFUKIWA NA KIFUSI WATOKA HOSPITALI


Mkuu wa Mkoa wa Geita, Meja mstaafu Ezekieli Kyunga akisalimina na mmoja wa watu walikuwa wamefukiwa na kifusi cha udongo ndani ya Mgodi wa RZ uliopo katika Kata ya Nyarugusu na kuokolewa jana majira ya saa tano asubuhi  na leo kuruhusiwa katika Hospitali ya Mkoa huo baada ya kupata nafuu (Picha na Valence Robert Geita).

No comments:

Post a Comment

Pages