January 30, 2017

WATU 15 WALIOFUKIWA NA KIFUSI MGODI WA RZ WAOKOLEWA WAKIWA HAI

 Waokoaji wakiendelea na zoezi la kuwaokoa watu waliofukiwa katika mgodi wa dhahabu wa RZ Union uliopo Nyarugusu mkoani Geita, ambapo watu 15 waliokuwa wamefukiwa na kifusi katika mgodi huo waliokolewa wakiwa hai. (Picha na Eliud Dalei). 

Mmoja wa watu waliofukiwa katika mgodi wa dhahabu wa RZ Union akiokolewa  kutoka ndani ya shimo la mgodi huo wa dhahabu wa RZ.  
 Mmoja wa watu waliofukiwa katika mgodi wa dhahabu wa RZ Union uliopo Nyarugusu mkoani Geita, akitolewa katika shimo.  
 Wafanyakazi wa vikosi vya uokoaji wakiwatoa watu waliokuwa wamefukiwa na kifusi.
 Manusura akitolea katika shimo la mgodi wa dhahabu.
 Uokoaji ukiendelea.
Raia pekee wa China aliyekuwa amefukiwa na kifusi katika mgodi huo akiokolewa. 
Zoezi la Uokoaji likiendelea kwa kuwatoa watu waliokuwa wamefukiwa katika mgodi wa dhahabu. 
Wafanyakazi wa zimamoto wakiwatoa watu waliokuwa wamefukiwa na kifusi. 
Watioa huduma za afya wakitoa huduma ya kwanza kwa majeruhi. 
Wafanyakazi wa vikosi vya Uokoaji wakiendelea na zoezi la kuwanusuru waliofukiwa na kifusi.

No comments:

Post a Comment

Pages