January 29, 2017

YANGA YASHIKA USUKANI LIGI KUU, YAICHAPA MWADUI FC 2-0

  Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na mshumbuliaji wa timu hiyo Obrey Chirwa (katikati), dhidi ya Mwadui FC, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam.Yanga ilishinda 2-0. (Picha na Francis Dande).

No comments:

Post a Comment

Pages