February 02, 2017

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe wakati alipouliza swali katika kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, Bungeni mjini Dodoma Februari 2, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa papo, bungeni mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Pages