February 06, 2017

CDF MABEYO AAPISHWA

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akifurahia jambo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.  
 Rais  John Pombe Magufuli akifurahia katika mazungumzo kati yake na  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania(CDF), Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) na Mkuu wa Majeshi ya  Ulinzi ya Tanzania Mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange baada ya kumwapisha  CDF Mabeyo, Ikulu jijini Dar es salaam Februari 6, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Rais  John Pombe Magufuli akifurahia katika mazungumzo kati yake na  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania(CDF), Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) na Mkuu wa Majeshi ya  Ulinzi ya Tanzania Mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange baada ya kumwapisha  CDF Mabeyo, Ikulu jijini Dar es salaam Februari 6, 2017. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,  Paul Makonda na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Simon Siro (kulia) katika hafla ya kumwapisha Mkuu wa majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo, Ikulu jijini Dar es salaam Februari 6, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Pages