February 02, 2017

Rais Magufuli Aitaka Mahakama Kufuatilia Deni la Trilioni 7.3.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam. Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.
 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akiwasili katika viwanja vya mahakama kuhudhuria hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa dini na wageni waalikwa wakifuatilia hotuba wakati wa hafla ya maaadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akimkabidhi ripoti ya kesi za uchaguzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai ripoti ya kesi za uchaguzi wa mwaka 2015 katika hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Juma  akikagua gwaride la Kikosi Maalumu cha Jeshi la Polisi nchini wakati wa hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Juma  akipokea salamu ya utii kutoka kwa  Kikosi Maalumu cha Jeshi la Polisi nchini wakati wa hafla ya maadhimisho ya mwaka mpya wa Mahakama leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages