February 04, 2017

SAKATA LA TUHUMA ZA DAWA ZA KULEVYA JESHI LA POLISI LASIMAMISHA KAZI ASKARI 12

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusu tuhuma za Askari wa Jeshi hilo kujihusisaha na biashara za dawa za kulevya zilizotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. (Picha na Francis Dande). 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu akifafanua jambo. 

No comments:

Post a Comment

Pages