MKUU wa Wilaya ya Moshi, Kippi Warioba, akimpa mkono mwandishi wa Tanzania Daima, Grace Macha, juzi kabla ya kumkabidhi zawadi iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Taasisi ya Utafiti wa Kahawa nchini, (TaCRI), Profesa, James Teri kwa kutambua Mchango wake katika uendelezaji wa zao la kahawa nchini. (Picha kwa hisani ya TaCRI).
No comments:
Post a Comment