February 03, 2017

Yanga yaipiga Stand United 4-0

 Hekaheka.
 Mshambuliaji wa Yanga, Juma Mahadhi (kushoto), akichuana na beki wa Stand United, Erick Mulilo.  
Mshambuliaji wa Yanga, Juma Mahadhi (kushoto), akichuana na beki wa Stand United, Erick Mulilo.  

Mshambuliaji wa Yanga Juma Mahadhi akibusu kiatu cha beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Canavaro’ baada ya kuifungia timu yake bao la 4 katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Stand United. uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

Pages