Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 Mjini Dodoma.
|
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.
Suleimani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
|
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu Kijaji akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment