Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James, akipokea mfano wa hundi ya Sh. Bilioni 19.5 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, ikiwa ni gawio kutokana na hisa zinazomilikiwa na serikali katika benki hiyo, hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei. (Picha na Francis Dande).
No comments:
Post a Comment