Mkurugenzi wa Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Frederick Ntobi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Warsha juu ya matumizi ya vyombo vya habari Mtandaoni (Online Media) iliyowashirikisha wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN), kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA; KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Wajumbe wa Kamati ya Maudhui ya TCRA wakihudhuria warsha hiyo
Sehemu ya wamiliki wa mitandao mbalimbali wakihudhuria warsha hiyo ya siku moja.
Mwenyekiti wa TBN, Joachim Mushi (kulia) akiwa meza kuu. Anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba, Mwenyekiti wa Kamti ya Maudhui ya TCRA, Bibi Msoka na James Kilimba ambaye ni Mkurugebnzi wa Bodi ya TCRA.
Mablogga wakiwa makini kusikiliza wakati wa warsha hiyo. Kutoka kushoto ni Kranz Mwantebele, Adam Mzee na Dotto Mwaibale.
No comments:
Post a Comment