September 11, 2017

UTT AMIS ILIVYOSHIRIKI MKUTANO WA WAHANDISI MKOANI DODOMA

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, akijiandikisha katika kitabu cha wageni alipotembelea banda la UTT AMIS katika Mkutano wa Wahandisi uliofanyika Septemba 7-8 mjini Dodoma. Kulia ni  Ofisa Masoko Mwandamizi wa UTT-AMIS, Martha Mashiku.
 Ofisa wa UTT AMIS, Waziri Ramadhani, akitoa elimu kwa watu waliofika katika banda la UTT AMIS huku mwananchi mwingine aliyekaa akifungua akaunti wakati wa mkutano wa Wahandisi mjini Dodoma.
Mkurugenzi wa Masoko Mwandamizi wa UTT AMIS, Daud Mmbaga akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, alipotembelea  banda hilo wakati wa Mkutano wa Wahandisi uliofanyika mjini Dodoma hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Pages