Mshindi wa Kiwanja katika Promosheni ya 'Maendeleo Pamoja na Wewe', Sarah Fadhili, akipokea hati ya kiwanja kutoka kwa Mkurugenzi wa Maendeleo Bank PLC, Ernest Kadiva.
Mkurugenzi wa Maendeleo Bank PLC, Mchungaji Ernest Kadiva (kulia), akimkabidhi mfano wa mfuko wa saruji, Walter Mchome, aliyejishindia tani za saruji katika promosheni ya ‘Maendeleo Pamoja na Wewe’ iliyofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).
No comments:
Post a Comment