October 02, 2017

MORNING STAR MABINGWA MWAKAJOKA CUP

 Mbunge wa Jimbo la Tunduma Frank Mwakajoka akimkabidhi kiatu mfungaji Josephat Haule kutoka timu ya Morning Star FC baada kuibuka mfungaji bora kombe la ‘Mwakajoka Cup 2017’bao 13, fainali uliopigwa juzi katika uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma Morning walishinda 2-1 dhidi ya Mpira Pesa FC.
 Mbunge wa jimbo la Tunduma Frank Mwakajoka akimkabidhi kitita cha sh. 500,000/ naodha wa timu ya Morning Star FC Richard Jailos  baada ya timu yake kutawazwa bingwa wa “Mwakajoka Cup 2017” kwa kufunga Mpira pesa FC bao 2-1 katika mchezo wa fainali uliopigwa katika uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma Oktoba Mosi.
Mbunge wa jimbo la Tunduma, Frank Mwakajoka, akimkabidhi Kombe nahodha wa timu ya Morning Star FC, Richard Jailos,  baada ya timu yake kutwaa ubingwa wa “Mwakajoka Cup 2017” kwa kufunga Mpira pesa FC bao 2-1 katika mchezo wa fainali uliopigwa katika uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma Oktoba Mosi. (Picha na Kenneth Ngeles).

No comments:

Post a Comment

Pages