WAZIRI MKUCHIKA AKUTANA NA IDARA NA VITENGO – UTUMISHI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akifuatilia mada katika moja ya vikao kazi alivyofanya leo na watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora Kapteni (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akimsikiliza
Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA Serikalini Bw. Priscus Kiwango akieleza
kazi mbalimbali zinazohusu TEHAMA Serikalini na utekelezaji wake.
No comments:
Post a Comment