Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwafariji Katibu wa CCM wa Kata ya
Mnacho , Mohammed Chilambo (kushoto kwake) ambaye nyumba yake imechomwa
moto kwa sababu zinazodaiwa kuwa za kisiasa katika kijiji cha Chimbela B
wilayani Ruangwa Desemba 2, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment