Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
Nchini, Jenerali Venance Mabeyo baada ya kuwasili kwenye viwanja vya
Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Upanga
jijini Dar es salaam Desemba 14, 2017, kumwakilisha Rais John Pombe
Magufuli katika kuaga miili ya askari 14 wa JWTZ waliouawa wakiwa katika
operesheni ya ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa nchini Congo -
DRC. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,. Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi
la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi baada ya kuwasili kwenye viwanja
vya Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),
Upanga jijini Dar es salaam Desemba 14, 2017, kumwakilisha Rais John
Pombe Magufuli katika kuaga miili ya askari 14 wa JWTZ waliouawa wakiwa
katika operesheni ya ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa nchini
Congo - DRC.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo baada
ya kuwasili kwenye viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Upanga jijini Dar es salaam Desemba 14,
2017, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika kuaga miili ya askari
14 wa JWTZ waliouawa wakiwa katika operesheni ya ulinzi wa amani chini
ya Umoja wa Mataifa nchini Congo - DRC.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya
Nne, Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Makao
Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Upanga jijini
Dar es salaam Desemba 14, 2017, kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli
katika kuaga miili ya askari 14 wa JWTZ waliouawa wakiwa katika
operesheni ya ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa nchini Congo -
DRC.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Susan Kolimba baada ya
kuwasili kwenye viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi
wa Tanzania (JWTZ), Upanga jijini Dar es salaam Desemba 14, 2017,
kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika kuaga miili ya askari 14 wa
JWTZ waliouawa wakiwa katika operesheni ya ulinzi wa amani chini ya
Umoja wa Mataifa nchini Congo - DRC. Katikati ni Rais Mstaafu wa Awamu
wa Nne, Jakaya Mrisho Kikwete na kushoto Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika - SADC. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba miili ya
askari 14 wa JWTZ waliouwa wakiwa kwenye operesheni ya ulinzi wa amani
chini ya Umoja wa Mataifa nchini Congo - DRC,`kwenye viwanja vya Makao
Makuu ya JWTZ Upanga jijini Dar es salaam Desemba 14, 2017. Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika
kuaga miili ya askari hao.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza kwenye viwanja vya Makao Makuu
ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Upanga jijini Dar es
salaam Desemba 14, 2017 alikomwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika
kuaga miili ya askari 14 wa JWTZ waliouawa wakiwa katika operesheni ya
ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa nchini Congo - DRC.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa askari 14 wa
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliouawa wakiwa katika operesheni
ya ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa nchini Congo - DRC, kwenye
viwanja vya Makao Makuu ya JWTZ, Upanga jijini Dar es salaam
akimwakilisha Rais John Pombe Magufuli, Desemba 14, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wafiwa baada ya
kuwasili kwenye viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi
wa Tanzania (JWTZ), Upanga jijini Dar es salaam Desemba 14, 2017,
kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika kuaga miili ya askari 14 wa
JWTZ waliouawa wakiwa katika operesheni ya ulinzi wa amani chini ya
Umoja wa Mataifa nchini Congo - DRC.
No comments:
Post a Comment