Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mjumbe
maalum wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje
wa Uganda Sam Kutesa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha namba 2. Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo
na Mjumbe maalum wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye pia ni Waziri wa
Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ujumbe Maalum
uliotoka kwa Rais wa Uganda Yoweri Museveni na kuwasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa
mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiufungua na kuusoma
Ujumbe huo maalum uliotoka kwa Rais wa Uganda Yoweri Museveni na kuwasilishwa
kwake na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Uganda Sam Kutesa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mjumbe
maalum wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje
wa Uganda Sam Kutesa mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Mjumbe maalum wa Rais wa Uganda Yoweri
Museveni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Sam Kutesa akiagana na
Waziri wa Mambo ya Nje kwa upande wa Tanzania Balozi Dkt. Augustine Mahiga
Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA
IKULU.
No comments:
Post a Comment