May 29, 2018

DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU. 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally akizungumza na wajumbe wa mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC wakati akiwasilisha Ripoti ya Uhakiki wa mali za Chama cha Mapinduzi CCM kwa wajumbe hao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe wa NEC hawaonekani pichani, kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wajumbe mara baada ya kikao cha NEC Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiimba pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kukabidhiwa makabrasha yenye taarifa za uhakiki wa mali za Chama hicho.
Wajumbe kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC wakishangilia wakati kikao hicho kilipokuwa kikiendelea Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally mara baada ya kumpendekeza  na kupitishwa na wajumbe wote waliohudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally wapili kutoka kulia kwenye meza kuu kupitishwa na wajumbe wote waliohudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally akiwashukuru Wajumbe wa NEC kwa kumpitisha kuwa Katibu Mkuu wa Chama Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally akiwa meza kuu mara baada ya kupitishwa na wajumbe wote waliohudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally akizungumza na wajumbe wa mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC wakati akiwasilisha Ripoti ya Uhakiki wa mali za Chama cha Mapinduzi CCM kwa wajumbe hao Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages