May 26, 2018

NGOMA AITEMA YANGA AJIFUNGA MKATABA WA MWAKA MMOJA AZAM FC

Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga raia wa Zimbabwe, Donald Ngoma, akiweka saini ya dole gumba katika fomu ya mkataba wa mwaka mmoja wa kujiunga na Azam FC jijini Dar es Salaam leo Mei 26, 2018. (Na Mpiga Picha  Wetu).

No comments:

Post a Comment

Pages