May 06, 2018

NSSF YADHAMINI, YASHIRIKI MBIO ZA TULIA MARATHON

 Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakijiandaa kushiriki mbio za Tulia Marathon zilizofanyika jijini Mbeya na kudhaminiwa na shirika hilo.
 Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson, akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Meneja Masoko na Uhusiano, Salim Kimaro (wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa NSSF Mkoa wa Mbeya, William Lutambi (kulia) na wadau wengine baada  ya kumalizika kwa mbio za Tulia Marathon zilizoratibiwa na Taasisi ya Tulia Trust kwenye Uwanja vya Sokoine jijini Mbeya.
Kaimu Meneja wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salim Kimaro, akizungumza wakati wa mbio za Tulia Marathon zilizofanyika jijini Mbeya na kudhaminiwa na NSSF. Kushoto ni Naibu Spika Dk. Tulia Ackson.

No comments:

Post a Comment

Pages