May 06, 2018

SIMBA YANUSA UBINGWA VPL

Kipa wa Ndanda FC, Jeremiah Kisubi, akiokoa moja ya hatari langoni mwake katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0. 
Beki wa Simba, Shomari Kapombe, akiruka daruga la beki wa Ndanda FC, Ayoub Masoud, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji Emmanuel Okwi (aliyenyoosha mikono), akishangilia na baadhi ya wachezaji wa Simba baada ya kuifungia timu hiyo bao pekee kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Ndanda FC kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages