June 18, 2018

IGP SIRRO AKUTANA NA DKT. ELIEZER FELESHI JAJI KIONGOZI MAHAKAMA KUU TANZANIA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi, wakati alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam leo kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya kikazi ikiwemo kuweka mikakati ya kuwahisha upepelezi wa kesi ili kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati. Picha na Jeshi la Polisi.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi (katikati), wakati alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam leo kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya kikazi ikiwemo kuweka mikakati ya kuwahisha upepelezi wa kesi ili kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati, kushoto ni Kamishna wa Polisi Jamii CP Mussa A. Mussa. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza kamishna wa Polisi Zanzibar CP Mohammed Hassan Haji (wa kwanza kutoka kulia), wakati wa kikao kazi cha kujadili masuala mbalimbali ya kikazi ikiwemo kuweka mikakati ya kuwahisha upepelezi wa kesi ili kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati, kikao hicho kilihudhuriwa na Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi, alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam leo. Picha na Jeshi la Polisi.

No comments:

Post a Comment

Pages