June 26, 2018

​PMO 6532 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimia na mwanamuziki, Kikumbi Mwanza Mpango (King Kiki)  na wasanii wenzake  katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma  Juni 25/2018. Katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba, kushoto mwenye kofia nyekundu ni Mzee Makassy na Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Martha Mlata .

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU


PMO 6539 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwanamuziki Mkongwe Mzee Makassy  na wasanii wenzake katika Viwanja vya Bunge , Juni 25/2018 .Kulia ni Mbunge wa Viti maalumu Martha Mlata

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

PMO 6540 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba , bungeni jijini Dodoma  Juni 25/2018

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU


PMO.6535.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wanamuziki wakongwe kwernye Viwanja vya Bunge jijini Dodoma  Juni 25/2018

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

No comments:

Post a Comment

Pages