June 11, 2018

PROF. KAMUZORA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora anayeshughulikia (Sera na Uratibu) akimkaribisha Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Wang Ke alipowasili  katika Ofisi yake Jijini Dar es Salaam Juni 11, 2018.
 Balozi wa Jamhuri ya watu wa China Tanzania Wang Ke akitia saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu).
 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akifafanua jambo katika kikao na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Tanzania Wang Ke kilichofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam Juni 11, 2018.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akimsikiliza Balozi wa China nchini Tanzania Wang Ke akielezea jambo wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi ya Waziri  Mkuu Jijini Dar es Salaam Juni 11, 2018.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (sera na Uratibu) katika picha ya pamoja na Balozi wa China nchini Tanzania Wang Ke baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisi kwake Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages