Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akihutubia baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali
toka kwa viongozi wa TTCL Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi
wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam
leo
Juni 21, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akisaidiwa na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Miundombinu akipokea mfano wa hundi ya gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa
serikali toka kwa viongozi wa TTCL Corporation kwenye hafla
iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akihutubia baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa
serikali toka kwa viongozi wa TTCL Corporation kwenye hafla
iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma za
mawasiliano za kampuni ya TTCL nchi nzima baada ya kupokea gawio la
shilingi Bilioni 1.5 toka kwa viongozi wa TTCL Corporation kwenye hafla
iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Corporation Bw. Waziri Kindamba baada ya
kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa Shirika
hilo na kuzindua huduma za kampuni hiyo nchi nzima kwenye hafla
iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga baada
ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa
viongozi wa Kampuni ya TTCL na kuzindua huduma za Shirika hilo nchi
nzima kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018. (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment