June 16, 2018

TIMU ZA AFRIKA ZASHINDWA KUTAMBA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA

Mchezaji wa timu ya Taifa ya Morocco, Aziz Bouhaddouz, akitoka uwanja huku akilia baada ya timu yake kufungwa bao 1-0 na Iran katika mchezo wa Kundi B wa Fainali za Kombe la Dunia Juni 15, 2018.
 Mchezaji wa timu ya Taifa ya Iran, Vahid Amiri, akimtoka mchezaji wa Morocco, Hakim Ziyach (kushoto), katika mchezo wa kundi B wa michuano ya Kombe la Dunia 2018 uliofanyika kwenye Uwanja wa St. Petersburg, Russia, Juni 15, 2018. (Picha na AP/Andrew Medichini).
Mchezaji wa timu ya Taifa ya Morocco, Hakim Ziyach (kushoto), akiwania mpira na mchezaji wa Iran, Vahid Amiri,katika mchezo wa kundi B wa michuano ya Kombe la Dunia 2018 uliofanyika kwenye Uwanja wa St. Petersburg, mjini Petersburg, Russia, Juni 15, 2018. (Picha na AP /Themba Hadebe).

 Wachezaji wa Iran, Alireza Jahanbakhsh (mbele) na Saman Ghoddos, wakishangilia baada ya filimbi ya mwisho katika mchezo wa Kundi B dhidi ya Morocco.
 Kipa wa Morocco, Mohamedi.
Kocha wa Morocco, Herve Renard.

No comments:

Post a Comment

Pages