June 15, 2018

Uruguay yaifunga Misri kwa mbinde

 Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Uruguay, Jose Gimenez, akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee katika mchezo wa pili wa Kundi A wa Fainali ya Kombe Dunia dhidi ya Misri. (Picha na AFP).
 Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Uruguay, Jose Gimenez, akiifungia timu yake bao pekee la ushindi dhidi ya Misri jana katika mechi ya pili ya kundi A ya michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea kutimua vumbi nchini Urusi. (Picha na AFP).
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Uruguay wakishangilia baada ya Jose Gimenez kuifungia timu yake bao pekee dhidi ya Misri.

No comments:

Post a Comment

Pages