Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Meya wa Jimbo la Gorontalo Prof. Nelson Pamalingo wakati wa mkutano na meya huyo yaliyogusia ushirikiano wa kilimo cha minazi. Mazungumzo hayo yalifanyika mjini Jakarta, Indonesia.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali
Mohamed Shein na ujumbe wake katika mazungumzo na Meya wa Jimbo la Gorontalo Prof. Nelson
Pamalingo wakati wa mkutano na meya huyo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali
Mohamed Shein, akimsikiliza balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dk. Ramadhani Dau (wa pili kuli), wakati wa mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya Mfuta na Gesi ya Pertamina ya Jakarta, Indonesia.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali
Mohamed Shein, akisalimiana na kiongozi wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Pertamina, Daniel Purba.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali
Mohamed Shein,akiwa na ujumbe wake katika mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Pertamina.

No comments:
Post a Comment