HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 03, 2018

WAZIRI WA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI MSIBA WA SAGATI

Mke wa marehemu Shadrack Sagati (wa pili kushoto) wakati akiwasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
 Mwili ukwasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Shadrack Sagati.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, akitoa salama za rambirambi wakati wa ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Shadrack Sagati, katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji,  Charles Mwijage, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Shadrack Sagati.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akitoa heshima za mwisho.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zanzibar, Salum Mwalimu, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Shadrack Sagati, katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
 Jeneza lililokuwa na mwili wa Shadrack Sagati.
 Mke wa marehemu (kulia) akiwa na watoto wake.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (wa pili kushoto), Naibu Katibu Mkuu Chadema-Zanzibar, Salum Mwalumu pamoja na viongozi mbalimbali.
 Waombolezaji.
 Huduma ya kwanza ikitolewa kwa mmoja wa waombolezaji.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (katikati), pamoja na viongozi mbalimbali.

 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, akipeana mkono na Naibu Katibu Mkuu Chadema-Zanzibar, Salum Mwalimu.
bu Mkuu Chadema-Zanzibar, Salum Mwalimu akitoa salama za rambirambi.
 Waombolezaji.
 Majadiliano ya kufanikisha mazishi ya Shadrack Sagati.
 Waombolezaji.

 Baadhi wa waandishi wakiwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa ibada ya kuaga mwili wa Shadrack Sagati.



Kwaya ya Kitunda.
Mke wa marehemu akiwa na mtoto wake.   
 Ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika ibada ya kuaga mwili.

No comments:

Post a Comment

Pages