Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora akitia sahihi katika kitabu cha
wageni alipowasili katika Ofisi za Wakala wa Magari yaendayo kwa Haraka (DART)
zilizopo jengo la LAPF Kijitonyama tarehe 12 Septemba,2018 Dar es Salaam. Kulia ni Mtendaji Mkuu Wakala wa Magari
yaendayo Haraka (DART) Ronald Lwakatare.
Mtendaji Mkuu Wakala wa
Magari yaendayo Haraka (DART) Ronald Lwakatare (Kulia) akimweleza jambo Katibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora alipotembelea ofisi hizo tarehe 12 Septemba,2018
Jijini Dar es Salaam kujifunza namna ofisi hizo zinavyofanyakazi.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora akifafanua jambo wakati wa
mazungumzo na Menejimenti ya Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) kwenye
ofisi zao katika jengo la LAPF tarehe 12 Septemba,2018.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora akimsikiliza kwa makini Mtendaji
Mkuu Wakala wa Magari yaendayo Haraka (DART) Ronald Lwakatare (Aliyesimama)
wakati akielezea jambo kuhusu utendaji kazi wa ofisi hiyo tarehe 12 Septemba,
2018 Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment