HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 17, 2018

IGP AKUTANA NA BALOZI WA KOREA NCHINI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na  Balozi wa Korea nchini Song, Geum-young wakati balozi huyo alipotembelea Makao makuu ya Polisi Dar es Salaam ambapo walizungumza mambo mbalimbali ya kuimarisha Uhusiano. (Picha na Jeshi la Polisi).
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na  Balozi wa Korea nchini Song, Geum-young wakati balozi huyo alipotembelea Makao makuu ya Polisi Dar es Salaam ambapo walizungumza mambo mbalimbali ya kuimarisha Uhusiano.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akimkabidhi jarida la Polisi Balozi wa Korea nchini Song, Geum-young baada ya kufanya mazungumzo ya kuimarisha uhusiano Makao makuu ya Polisi Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages