HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 13, 2018

Halotel Wasaini Mkataba na UCSAF

Naibu Mkurugenzi wa Halotel, Trieu Tanh Binh, (Kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) Eng. Peter Ulanga, wakitia saini mkataba wa makubaliano wa awamu ya tatu kwa ajili ya kusambaza mawasiliano vijijini, utakao wezesha  kampuni hiyo kufikia Zaidi ya vijiji 300, anaeshuhudia  ni Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na Uchukuzi Eng. Aisack. (Katikati)

 Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (ucsaf) Eng. Peter Ulanga (kushoto) akipongezana na Naibu Mkurugenzi wa Halotel Trieu Tanh Binh (kulia) mara baada ya kutia saini Mkataba wa wa Kusambaza mawasiliano vijijini utakao wezesha  kampuni hiyo kufikia Zaidi ya vijiji 300, anaeshuhudia  ni Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na Uchukuzi Eng. Aisack. (katikati), Naibu Mkurugenzi wa Halotel, Trieu Tanh Binh (kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) Eng. Peter Ulanga, wakitia saini mkataba wa makubaliano wa awamu ya tatu kwa ajili ya kusambaza mawasiliano vijijini, utakao wezesha  kampuni hiyo kufikia Zaidi ya vijiji 300, anaeshuhudia  ni Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na Uchukuzi Eng. Aisack. (katikati)

No comments:

Post a Comment

Pages