June 15, 2019

DKT. MPANGO AWASILISHA BUNGENI HALI YA UCHUMI (2018) NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA (2019/2020)

 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma, Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020.
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akimpongeza Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb)  baada ya  kuwasilisha Bungeni Jijini Dodoma Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (Mb),  (kushoto), akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), Bungeni Jijini Dodoma wakati Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) alipo wasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James (wa pili kulia walioketi mbele) akiteta jambo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania-BOT, Prof. Florens Luoga (kulia kwake) wakati Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) alipoiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020.
 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (katikati), akipongezwa na baadhi ya Wabunge nje ya ukumbi wa Bunge baada ya kuwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020 bungeni jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa tatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na  familia ya  Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania-BOT, Prof. Florens Luoga (wa pili kushoto) baada ya  kuwasilisha Bungeni Jijini Dodoma Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango).

No comments:

Post a Comment

Pages