June 13, 2019

HAPPY BITHDAY PRESIDENT FELIX TSHISEKEDI

 Rais Dkt. Magufuli amemwandalia mgeni wake Rais Felix Tshisekedi  keki ya Birthday ampongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchini Tanzania wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es Salaam. June 13, 2019.
Rais Dkt.Magufuli akimtumbuiza  mgeni wake Rais Felix Tshisekedi akiwa na Wanamuziki Christian Bella, King Kikii na Christina Shusho  mara baada ya kumpa keki ya Birthday na kumpongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchinimTanzania Wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es Salaam. June 13, 2019.

No comments:

Post a Comment

Pages