MAKAMU wa Rais wa Kampuni ya Mafuta ya Shell, Bi. Clare Harris (wa pili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani (katikati) mara baada ya kumaliza kikao chao jijini Dodoma hivi karibuni. Wengine ni Mtaalamu wa Madini wa Wizara hiyo, Bi. Neema Mwasha (kushoto), Mwenyekiti wa Shell Tanzania, Bw. Axel Knospe (wa tatu kushoto), Meneja Mkakati wa Biashara Shell Tanzania, Bw. Ahmed Salim (wa tano kushoto) na Meneja wa Shell Tanzania, Bw. Dirk Nevelsteen.
No comments:
Post a Comment