June 16, 2019

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ampa pole, Mkurugenzi wa Uendeshaji Sport Pesa Tanzania, Tarimba Abbas


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimpa pole, Mkurugenzi wa Uendeshaji Sport Pesa Tanzania, Tarimba Abbas, kwa kufiwa na watoto wake wawili, Maisam na Alliazgar Tarimba Abbas, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es SalaamJuni 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimpa pole, Mke wa Mkurugenzi wa Uendeshaji Sport Pesa Tanzania, Tarimba Abbas, Warda Tarimba Abbas kwa kufiwa na watoto wake wawili, Maisam na Alliazgar Tarimba Abbas, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es SalaamJuni 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Pages