July 31, 2019

DK. AKWILAPO AFUNGA MAFUNZO KAZINI YA WAKUFUNZI

 Mwenyekiti wa Wawezeshaji wa mafunzo ya TEHAMA katika Kituo cha Dar es Salaam, Chacha Nsalo (kushoto), akitoa taarifa fupi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo,kabla ya kufunga mafunzo hayo.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo, akiangalia programu maalum wanazotumia wakufunzi wakati wa kufunga mafunzo ya TEHAMA katika Kituo cha Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo, akizungumza na wakufunzi wanaopata mafunzo ya kuwajengea uwezo katika matumizi ya TEHAMA kutoka Vyuo vya Ualimu vya Serikali.
Baadhi ya wakufunzi wakimsikiliza mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo (hayupo pichani). Ofisa Mafunzo, Naomi Swai, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgemi rasmi.

Ofisa Mafunzo, Naomi Swai, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgemi rasmi.


Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo, akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya TEHAMA katika Kituo cha Dar es Salaam. 
 

No comments:

Post a Comment

Pages