Meneja Mkuu wa Hyatt Regency Hotel ya
Jijini Dar es Salaam Garry Friend akiwa ameshika tuzo ya uongozi bora, ubunifu
na wenye ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wateja iliyotolewa na uongozi wa
Hoteli hizo Kanda ya Afrika Mashariki, wengine ni wafanyakazi wa Hoteli hiyo.
No comments:
Post a Comment