Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan leo Julai 07,2019 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye ufunguzi rasmi wa
mkutano wa 12 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika
(AU) unaojadili masuala mbalimbali kuhusu Eneo Huru la Biashara
Afrika (AFRICAN
CONTINENRAL FREE TRADE AREA - AFCFTA) Mkutano huo unaofanyika
mjini Niamey Nchini Niger umefunguliwa na Mwenyekiti wa Umoja wa
Afrika AU Rais Abdel Fattah el Sisi wa Egypt. (Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais).
No comments:
Post a Comment