July 09, 2019

MIILI YA WAFANYAKAZI WATANO WA AZAM MEDIA YAAGWA DAR

Miili ya waliokuwa wafanyakazi wa Azam Media ikiwasili katika ofisi zake zilizopo Tabata Dar es Salaam. (Picha na Said Powa).
 Miili ya waliokuwa wafanyakazi wa Azam Media ikiwasili katika ofisi zake zilizopo Tabata Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa.
Miili ya waliokuwa wafanyakazi wa Azam Media ikiwasili katika ofisi zake zilizopo Tabata Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa.

 Badhi ya waombolezaji wakiangalia majeneza ya miili ya wafanyakazi watano wa Azam Media waliofariki kwa ajali ya gari mkoni Shinyanga. (Picha na Said Powa).
Mkurugenzi Mtendaji wa ITV na Radio One, Joyce Mhavile, akitoa salamu za pole.

 Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, akitoa salamu za pole.
 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akitoa salamu za pole katika msiba wa waandishi wa habari wa Azam Media jijini Dar es Salaam.
  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni, akitoa salamu za pole.
 Waziri wa Habari, Udamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, akitoa salamu za pole.
 Mkurugenzi wa Azam Media, Tido Mhando, akizungumza wakati wa kuagwa kwa miili ya waliokuwa wafanyakazi watano wa Azam Media waliofariki wa ajali ya gari mkoani Shinyanga.

No comments:

Post a Comment

Pages