July 10, 2019

Tanzania yakabiliwa na upungufu wa samaki tani 350,000

 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega Ulega pamoja na  Naibu Waziri wa Kilimo maliasili na Usalama wa Chakula Bi . Marjolyn Sonnema kutoka nchini Uholanzi wakitia saini makubaliano ya mashirikiano baina ya serikali ya Tanzania na nchi ya Uholanzi katika Nyanja za maendeleo ya ufugaji wa Samaki na Kuku.
Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, pamoja na  Naibu Waziri wa Kilimo Maliasili na Usalama wa Chakula Bi Marjolyn Sonnema kutoka nchini Uholanzi wakibadilishana nyaraka mara baada ya kutia saini.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi , Abdallah Ulega Ulega, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutia saini nyaraka hizo za makuliano mashirikiano baina ya serikali ya Tanzania na nchi ya Uholanzi katika Nyanja za maendeleo ya ufugaji wa Samaki na Kuku.
  Naibu Waziri wa Kilimo maliasili na Usalama wa Chakula Bi Marjolyn Sonnema kutoka nchini Uholanzi akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Mifugo, Elisante Ole Gabriel   zawadi  ambayo wametoka nayo nchini uholanzi.

No comments:

Post a Comment

Pages