Meneja wa Masuala Endelevu wa TBL, Irene Mutingazi akiongea wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo.
Rais wa Chama cha Madaktari Tanzaia,Dkt Elisha Osat, (kulia) akichangia mada wakati wa mafunzo hayo, (Kushoto) anayesikiliza ni Meneja wa Masuala Endelevu wa TBL, Irene Mutingazi.
Wadau wanaoshiriki mafunzo wakifuatilia mada mbalimbali kutoka kwa wakufunzi
No comments:
Post a Comment