July 15, 2019

UFUNGUZI MKUTANO WA MKUU 16 WA NUSU MWAKA

 Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, walipokutana kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu uliofanyika katika Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU), Magamba wilayani Lushoto mkoani Tanga. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

No comments:

Post a Comment

Pages