Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mtambo wa simu
wa zamani wakati alipotembelea makumbusho ya Shirika la Mawasiliano
Tanzania (TTCL) iliyopo kwenye jengo la EXTELECOMS HOUSE jijini Dar es Salaam leo. Kushoto kwake ni Nibu Waziri wa Viwanda na
Biashara, Mhandisi Stella Manyanya, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TTCL,
Waziri Kindamba na Kulia ni Meneja wa Huduma kwa Wateja wa TTCL, Laibu
Leonard.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment