August 05, 2019

WENGI WAJITOKEZA KATIKA BANDA LA CHUO KIKUU KWENYE MAONESHO YA 26 YA WAKULIMA KANDA YA KUSINI

Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Kinawakaribisha wananchi katika Banda la Chuo Kikuu katika Maonesho ya 26 ya Wakulima Kanda ya Kusini Mkoani Lindi katika Viwanja vya Ngongo. Karibu Mjifunze, Mfanye Udahili na Kujifunza masuala ya Utafiki, Ufugaji na Kilimo.
Baadhi ya wanafunzi wakipata maelezo walipotembelea banda la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), katika maonesho ya 26 ya Wakulima Kanda ya Kusini yanayofanyika mkoani Lindi.

No comments:

Post a Comment

Pages