Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitoa misaada ya nguo na vyakula kwa mmoja wa wazee wanaoishi katika Kituo cha Kulelea Wazee cha Nunge, Kigamboni jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019. Mama Magufuli aliongozana na wake wa viongozi mbalimbali katika kusherehekea Miaka 10 ya Umoja wao uitwao New Millenium Women’s Group. (Picha na Ikulu).November 15, 2019
MKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI NA MILLENIUM WOMEN'S GROUP WAKABIDHI MISAADA MBALIMBALI KITUO CHA KULEA WAZEE CHA NUNGE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitoa misaada ya nguo na vyakula kwa mmoja wa wazee wanaoishi katika Kituo cha Kulelea Wazee cha Nunge, Kigamboni jijini Dar es Salaam leo Novemba 15, 2019. Mama Magufuli aliongozana na wake wa viongozi mbalimbali katika kusherehekea Miaka 10 ya Umoja wao uitwao New Millenium Women’s Group. (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment