Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wanachi wa Msamvu mkoani Morogoro mara baada ya kusimama.

akiwa na mmoja wa wafanya usafi wa Stendi ya Mabasi Msavu aliposimama na
kuzungumza na wananchi waliosimama pembezoni mwa Stendi ya Mabasi ya
Msamvu mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na kutoa maagizo kwa Simu kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Dkt. Arnold Kihaule, mwananchi aliposimama kwa muda maeneo Dumila mkoani Morogoro akiwa njiani kuelekea Dodoma leo Jumatano Novemba 20, 2019. PICHA NA IKULU.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John P:ombe Magufuli akisalimia na mtoto Hilal Salum (4) aliposimama kwa muda maneo ya Dumila, Mkoani Morogoro akiwa njiani kuelekea Dodoma leo Jumatano
Novemba 20, 2019.
Novemba 20, 2019.
No comments:
Post a Comment