November 22, 2019

WAZIRI MKUU ASHIRIKI KATIKA SALA YA IJUMAA KATIKA MSIKITI WA GADDAFI, JIJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya Sala ya Ijumaa, kwenye Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma, Novemba 22, 2019.
Waumini wa Dini ya Kiislamu, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, makati  akizungumza baada ya Sala ya Ijumaa, kwenye Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma, Novemba 22, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu wa BAKWATA Mkoa wa Dodoma, Jafar Mwanyemba, mara baada ya Sala ya Ijumaa,  kwenye Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma, Novemba 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Pages